CHUO CHA UFUNDI MUMAU KCY MPANGA

Mkurugenzi wa kampuni ya MUMAU K.C.Y iliyopo Morogoro/Mlimba/Mpanga Mission
Mh,Bruno Wicki. Anatangaza rasmi kutoa Punguzo la ada ,kwa wanafunzi wanaopenda kujiuunga na masomo ya computer / computer training course ,kwa jinsia zote.


  Punguzo la bei ni kwa asilimia 50%


  •  Mwanafunzi atasoma kwa gharama ya Tsh 50000/=.Kwa mwezi mmoja.
  •  Makazi yapo kwa wanafunzi wanaotoka mbali.
  •    Kwa mawasiliano zaidi , wasiliana kupitia namba zilizopo kwenye picha hapo chini.
 Tembelea ukurasa wa facebook ,https://web.facebook.com/yordan.djyd 

Maoni