KEEP IT CLEAN MEDIA
Hii ni kampuni inayojishughulisha na masuala ya usafi. Lakini imegawanyika katika matawi mbalimbali.. KEEP IT CLEAN Inayopatikana Morogoro, Wilaya mpya MLIMBA. Imeanza rasmi kazi zake mnamo mwaka 2019 . Mpaka kufikia hivi sasa ,imeweza kukidhi haja za wateja wake kwa kiwango kikubwa katika muda wa kipindi cha miezi 6. Huduma zitolewazo ni .. GRAPHIC DESIGNING T'SHIRT PRINTING STARTIONARY SERVICE VIDEO SHOOTING Hivyo tunaomba ushirikiano wenu wakazi wa Mlimba na mikoa jirani. Tunatarajia kufanya mabadiliko makubwa kutokana na mahitaji husika kama kauli mbiu yetu inavyosema.. YOUR CHALENGE IS OUR PROGRESS. thanks..... written by yordan agustino (Yd).

Maoni
Chapisha Maoni